Jumanne, 19 Novemba 2013
HII NDO DODOMA BWANA MAKAO MAKUU YA TANZANIA==>letea==>
Karibu Dodoma, mji uliobarikiwa, nimji wa raha wenye maziwa na Asali 1,Kuna mchanganyiko wa watu Mfano: Waganda,Wakenya,Walundi nk. 2,Una matunda ya kipekee Mfano:Ngwelu,Fulu,Makwata,Nhumbululu,Nnafuta,Pelemehe,Susuna nk. 3,Una mboga zakipekee kama Mhilile,Ilende,Safwe,Mzimwe,Chipali,Ikuwi,Mhagalale, nk. 4,Una majina matamu ya Asili kama Msuliche,Mbezwa,Manzila,Nyemo,Mbedegalo,Chishomi nk. 5,Pia unangoma za Asili kama Uvina,Saigwa,Msunhyunho nk. 6,Watu wake wanaushirikiano,upendo na huruma nyingi... MYSELF NAJIVUNIA KUWA MGOGO NUSU. Vp unataka kuelewa kwanini mi nimgogo nusu nicheki #dactarwizziy@yahoo.com
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni