Jumapili, 17 Novemba 2013
92DALLARS the LIBRARY of SWAGGS inakuletea==>
Welcome 97.7 NYEMO FM so kama wewe nimsanii na unataka kuwa msanii mkubwa hapa Tz bac tukutane palee 97.7 Nyemo Fm kesho tarehe 18 November mida ya saa 10 kamili kwa kujulishana mawili matatu kuhusu muziki wapi unaelekea na kuusaport mziki wetu wa Bongo,chamsingi nikunyanyua unyayo wako nakusogee maeneo ya nyemo Fm Redio nakama wewe nimdau wamyuziki kwa namna moja ama nyingine bac mgumie artist wenu hapo kitaa aje apate Maujanja nakugostory nawasanii kiiibaooo nakukutana namakundi kiiibaooo kama LOVE LABARATORY,92DALLARS the LIBRARY of SWAGGS, namengine kiiibaooo siokesi minishafanya yangu so kama vipi niache nusu
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni