Alhamisi, 10 Oktoba 2013
GRADUATION PART ZONE==>
Nimkali kutoka MNADANI SEC the swaggs 4 the Lads sugars Nimzee wa menta sweeter,BREEZY Baby a.K.a mjukuu wa Kinyangoroka ndani ya part ya Dox J'mosi 19 October 2013. VS Mkali kutoka LUKUNDO SEC,,Ni MC mwenye killers flows namzungumzia the young super star JESUSON na mc wengine kibao wataisongesha SHOOO siku ya J'mosi tarehe 19 October Ndani ya Lukundo Sec mida ya nne asubuh mpaka 10 kamili mchana kwenye viwanja vya shule hiyo.Baada yahapo sasa tunakutana tena Tarehe 26 October 2013 siku ya J'Mosi ndani ya ukumbi wa Tiger na raia wa Tisa mbili dallars (92Dallars) we in the bulding'a Kwenye BIG PART iliyozaminiwa na Dent wa Lukundo JESUSON...Kiingilio ni Bei ya mkaa yani kwamtonyo wa BUKU MBILI tu ! {2000/=It's a time to get knowlege ama nini Umameno...LADS and GENTLEMEN We R E A D FOR S H O O O O O O O O ?!!!
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni