Jumamosi, 21 Septemba 2013
Exclusive=>Colablelation la kufa mtu "UMA MENO"==>
Leads and Gentromen 'UMA MENO'. Lile Colable lililokuwa likisubiliwa likisubiriwa kwa hamu na Fance kibao hapa Tz ndani ya Kisiwa cha Vumbi Dom City sasa hili hapa kwenye Studio ya Nyemo Record,siku ya Juma Tatu Tarehe 23/9/2013 mzigo utadondoka siku hiyo na kuwekwa ndani ya box nakupelekwa midia kwa mara yakwanza. Colable hilo linahusisha vichwa vitatu vikari yani nimasuper star underground KINGS the Dom city Monster si wengine ni DIZZY SWAGS, DACTAR WIZZY na Mjukuu wa Kinyongaroka na mzungumzia BREEZY hivyo yani snich UMA MENO.Ngoma inakwenda kwajina la "SAUTI YA MTAA" Itayo simamiwa namtumzima BM producer mwenye mikono dundo ya hatari na mikono michafu hapa town ,So kaen mkao wakula ama nini Uma meno',
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni