Jumamosi, 14 Septemba 2013
DO SOMETHING SPECIAL 4 U'RE MOM, I LOVE MAMA,,,Haya ndo Y@MOYONI kutoka Kw@ Mwanasheria mtalajiwa simwingine Nimwanadadiva MWASHAM kutoka pande Za 255 Geita Mwanza stand up!
Hiki ndicho nlicho nacho ndan yambo kichwan niwazacho nikionacho kwenye macho ya ubongon, Mwanasheria huyo mtalajiwa alifunguka hv "Kutengeneza maisha yako mpende sana MAMA na umtunze sana MAMA kumbuka miez 9 ulikaa ndan yatumbo lake,miaka 2 au zaid ulikunywa klicho kifuan mwake.Kitanda chako kilikuwa miguu yake,bembea yako ilikuwa mgongo wake na mikojo kwa kadri ulivyojisikia.Alikubali kuumia iliww upate kukua vyema,kila cku uamkapo na ulalapo muombe MAMA." Alisema mwanasheria huyo.Mi nawapa pole raia wote waliowapoteza waziwao one blood.Pray ze loady amen naomba uzdikumjali aliyenizaa,Nasikila anayenichekea humaanisha ananipenda pia Dunia ninzuri walimwengu sio uliniambia,wengi huchukia kwavyote hata vilivyo sawa,maneno yangekuwa mkuki zaman ningeuwawa,umenipa elimu nimepata nguvu za fikra na moyo wakuhaso kama Nako 2 Nako Ibra maisha marefu naomba MUNGU akujalie kwa ukalimu ulionitendea sijui kipinikufanyie.Baba yako usimsahau Mama yako ucmdharau machoz asilie mwana ujivunie ang'alau Mungu atakublees pia
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni