Alhamisi, 12 Septemba 2013

H.BABA SASA AITWA BABA KIUKWELI UKWELI~~>

Ndoa ya msanii wa Bongo Fleva Hamis Ramadhan a.K.a H.BABA na mkewe Flora Mvungi imebahatika kupata mtoto wa kike nakumpatia jina la TANZANITE , H.Baba amesema kwamba mkewe Flora amejifukua salama jana september 11 majira ya 12:30 jioni katika hospital ya Marie stopes iliyogo mwenge jijini Dar es salaam. "Najisikia furaha sana kwasababu hii ndio mara ya kwanza naitwa baba,namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipatia mtoto huyu wakike ambaye tumemuita Tanzanite Hamis,nawashukuru wote pia ambao wametuombea dua".Alisema H.baba

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni