Jumamosi, 30 Novemba 2013

MC MANDAX ALIA NA MAPRODUCER WA BONGO==>

Maproducer baadhi hapa Dom city ambao sio waaminifu,wamekuwa GUMZO kwa mc's wanaoenda kurecord track zao wakiwa na tuntuzi zao a.K.a madem wao wakalia nyonga wanao waandalia mapropela,makabashishi, some time Yes some time No kwa meza. MC MANDAX wa MPUNGUZI amefungu haya "katika maproducer ambao si waaminifu kwa ma mc zake ni Producer NOTI wa KAIZA RECORDS" Msanii huyo ameyasema hayo baada ya Producer huyo kumzunguka na kumnyakuria tuntuzi yake,ameongeza kusema nibaada ya kwenda kurecord kwenye Studio hiyo akiwapamoja na Baby wake anaye fahamika kwa jina la PENDO aliyekuwa anaishinae mpunguzi hadi kumpelekea kuandika nyimbo inayoitwa Pendo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni