Jumanne, 10 Septemba 2013
Watu zaidi ya 200,000 Duniani watuma maombi kwenda kuishi milele kwenye sayari ya Mars...=>
Tiketi ya One way kwenda kuishi milele kwenye eneo tasa,lenye aridhi ya ajabu joto linalo weza kugota 150'C,inaweza isiwe mvuto kwa wengine lakini mpaka hivi sasa watu Laki mbili kutoka nchi 140 Duniani wametuma maombi yao kuwa sehemu ya wakoloni wakwanza kwenda mars.Waombaji wamekubari kwenda kuishi kwenye sayari hiyo nyekundu maisha yao yote yalio salia na watashutiwa kwenye reality Tv show. Kampuni ya Uholanzi ya Mars one inajianda kwenda kwenye sayari hiyo October 2016 kuandaa mazingira na makazi kuwekwa huko mwaka 2018. Imesemwa kwa mifumo ya kwenda huko itajaribiwa mara 8 kabla haijatumiwa kusafirisha watu na kwamba safari itakuwa salama kuliko ileyakwenda MWEZINI.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni