Jumanne, 10 Septemba 2013

EXCLUSIVE==>

Tommoro nibirthday ya mtumzima Producer Prince wa Dom, ambaye anatimiza miaka 23 katika mkono wake so mpeshavu mwana kwa kumuwish au kumpatia zawadi yoyote ya kiB day B day kwa wale wajanja wa Town 2sikose kuturne u're Redio 97.7 Nyemo Fm mida ya 8:00 mchana mpaka mida ya 10:00 jioni.Hii haina kukosa mazeeee!!!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni