Ijumaa, 6 Septemba 2013

MSIKITI WAUNGUA!

Msikiti mmoja uliopo barabara ya sita (6) mjini Dodoma umenusurika kuungua moto; chanzo cha tukio hilo kinadaiwa kuwa nihitilafu za waya zaumeme uliokuwa katika msikiti huwo.Jengo lamsikiti huo liliungua baadhi ya maeneo katika msikiti huo sekeseke hilo lilijili mida ya saa sita 6 mchana waislam kadhaa waunga kwa pamoja kuuzima moto huo na wengine wachanga nyikiwa nakutoka mbio huku wakitaja jina la mungu wao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni