Alhamisi, 12 Septemba 2013

HUU NDO MTONYO SASA:;;;>

Leads and Genlomen Lile tamasha lililokuwa likisubiliwa kwa hamu ndani ya DODOMA ndani ya CRAZY FRAIDAY namaanisha FIESTER litafanyika kesho ndani ya Uwanja wa JAMUHURI STERDIUM mida ya 12jioni mpaka majogooooo, so kwa wale wajafanja wa town tukutane pale ndani ya nyumba na swags za hatari kuiwakilisha TEAM FUVU Baaaasi, Magwiji wa Dom city kwanzia sasa washa jipanga na kujikoki kwajili ya tommoro.So fanya yako minishafanya yangu mzazi. Nakwawale TEAM FUVU na TEAM DACTAR WIZZY wataingia Buuuuuure so jipange na kitucha black jeans,black tishet,black shoes na black bandana kwa mkono ama shingoni so kama vipi "MWAMBIE MWENZIO".Hivyo yani ama nini

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni