Jumanne, 13 Agosti 2013

WAKIMBIZI HARAMULARS:

Wengi wa wahamiaji haramu wario kuwa mkoani Kagera ambao wengi niwanyarwanda wamekimbilia nchi Uganda kama wakimbi lakini makambi ya wakimbizi huko Uganda yamekataa kuwapokea. Pamoja na serikali ya Rwanda kupitia ubalozi wake Uganda kufanya jitihada ya kutaka kuwarudisha Rwanda lakini watu hao hawatakikurudi kwa hofu ya kuuawa wakifika Rwanda. Endelea kusoma==># http://bit.ly/13Wlajd

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni