Napenda kumtakia siku njema ya kuzaliwa mkali wa Hip Hop Fareed Kubanda a.K.a Fid Q. Leo ndio ile Agusti 13 aliyoiimba mwenyewe akiwa na juma Nature a.K.a msitu wavina. Nakama nawe ni fan wake,show love kwa kusikiliza nyimbo yake hata moja kwaleo na kuirequst kwenye midia mbali mbali Hivyo yani ama nini
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni