Jumatatu, 26 Agosti 2013
THE BIG INTERVIE
Namleta kwenu mjukuu wa KINYONGOROKA mwenye swags na mvuto kwa Mabint simwingine ni be boy BREZY...So tukutane kwenye interview na mkali huyo wa miondoko ya boom kuuba a.K.a Hip Hop.Arts huyo atakuwa mjengoni siku ya crazy fraiday a.K.a Ijumaa mida ya mchana ndani ya Big Redio inayo bounce on Air 98.4 Dodoma Fm is take over kwa hewa.So kama we ni fance wake ama unamfeel Brezy bac ndo time yako sasa na uccte kufungulia Redio yako "kwani kufungua redio ni buuuuure".Arts huyo anayepoteza kwenye tasinia ya muziki wa kizazi kipya yani Bongo Fleva (Hip Hop) hapa Dom town a.k.a Tz yani ninooooooma.Usikose mwana ndani ya CRAZY FRAIDAY Hivyo yani ama nini
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni