Alhamisi, 29 Agosti 2013
MWANAFUNZI WA SHULE YAMSING BWAWANI AVUNJIKA MKONO...
Mwanafunzi moja wa darasa la 4 anaejulikana kwajina la Patriki Dickson Ramadhan katika shule yamsingi Msalato Bwawani mjini Dodoma, amepata ajali yakuvunjika mkono pindi alipokua akiche mpira kwenye kiwanja cha shuleni hapo pindi alipokuwa akionyesha umalidadi na ujuzi wa mchezo huo gafla alijikwa na kuanguka chini nakusababisha mkono kuvunjika...Patriki alisema"ilikuwa nipatashika nguo kuchani kwenye mchezo ule waleo nilikuwa nikiwania kufunga goli laushindi lakini kwa bahati mbaya pindi nilipokuwa nikiukimbiza mpira kuelekea gorini gafla nilijikwa na kudondoka chini kabla sijainuka mwanafunzi mwingine alinikanyaga kwa juu na hatimaye mkono ukavunjika..."alisema mwanafunzi huyo. Kwa sasa amelazwa kwenye hospital ya General mkoani Dodoma akiendelea namatibabu,hii ni report kutoka kwa Dactar wizzy hapa Hospital
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni