Ijumaa, 30 Agosti 2013
KAJALA NIZAIDI YA MUME KWANGU_WEMA#
Kasumba ya wanawake wengi kwa kuwaambia mashoga zao siri zao nzito inadaiwa kumfanya msanii maarufu wa filamu Bongo,Wema sepetu kufunguka kuwa bila kuwa kalibu na kajala masanja itakuwa ni kama kuamua kutembea mtupu. Wema sepetu alifika hatua ya kutoa maneno hayo katikati ya wiki hii kwa kuposti picha mtandao wa instagram ikimuonyesha yeye,meneja wake Martin kadinda na kajala huku akisindikiza na ujumbe mzito uliosomeka "I always call my poch and fell so naked without,i need her everywhere with me.I hope that'show they out each other" Aliandika kimombo alimaanisha nini? Tafsiri ya maneno hayo nikwamba wema anamchukulia kajala kama pochi yake na bila yeye anajihisi yuko uchi kiasi kwamba anataka kila sehemu wawe wote. Kajala amjibu baada ya Wema kutundika ujumbe huo,Kajala naye alijitutumua na kutupia maneno ya kumshukuru (Wema) huku akieleza kuwa kama nihivyo yeye hana lakusema."Nimeyapenda maneno hayo,kama ni hivyo mimi sina lakusema," aliandika kajala kwenye mtandao huo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni