Jumanne, 20 Agosti 2013

MAMA NA MWANAE WAMEUWAWA KIKATILI BAADA YA KUKATWA MAPANGA NA BAADHI YA VIUNGO KUCHOMWA MOTO.

Wanawake hao vikongwe mtu na mwanae Jadi Temi (90) na mwanae Samara Matiyasi wa kijiji cha Ikondo wawili hao walioshambuliwa juzi na kuuwawa na watu wasio julikana wakiwa wamekaa nje ya yanyumba yao na kufulahia chakula cha usiku.Tukio hilo linahusishwa na imani zakishilikina,kamanda wa police wa mkoa wa Shinyanga Bw.Shinha Kihenya alisema "vikongwe walishambuliwa kwa mapanga sehemu mbalimbali za miili yao na kufa papo hapo,Kihenya alifafanuwa kuwa mara baada ya kushambulia wauwaji hao walikata kichwa cha Samara,kiganja cha mkono wa kushoto na kulia na kuvitupa kwenye moto uliokuwa jirani alisema wauwaji hawakuiba chochote".Tukio hili lilitokea Ijumaa saa 2 usiku katika kijiji cha Ikonda wilayani Shinyanga.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni