Alhamisi, 15 Agosti 2013
SHILOLE ASHUSHIWA KIPIGO KISA MADENI
Msani huyo kwenye tasinia ya muziki na filamu hapa Bongo Zuwena Mohammed "Shilole" mwishoni mwa wiki iliyopita alionja joto ya jiwe baada ya kutiwa mtu kati na wana dada waliokuwa wakimdai kiasi kikubwa cha pesa. Habari zauhakika zilizothibitishwa na moja kati ya kina dada hao waliokuwa wanamdai zilisema kuwa wanawakehao waliamua hatua yakumtia adabu Shilole baada ya kupata taarifa siku hiyo alikuwa anahama kwa kumbia namadeni lao "Inshu ilikuwa hivi sisi tuna mdai huyu mdada lakini chakushangaza amekuwa akitupiga chenga sana na onalivyo kuwa simstaarabu kumbe siku hiyo alikuwa anahama na deni letu na ndio maana tuliamua kwenda kumzingua"Alisema dada huyo aliomba jina lake lihifadhiwe.Dada huyo aliendelea kufanya mengi kuhusu sakata hilo"Unajua sisi tunafanya biashara zetu hivyo kuna siku Shilole alikuja na kusema amekwama kipesa hivyo tumuazime pesa natukafanya hivyo lakini chakushangaza mwezi wa sita huu hataki kurudisha na amekuwa akitukwepa mara kwa mara.Alisema dada huyo
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni