Alhamisi, 15 Agosti 2013

CHEMSHA AKILI YAKOIGERIA "lamua" KAMANDA WA BOKO HARA

Ukipata jibu nakurushia msimbazi kwenye xxx pesa sasa hivi. Nguo inauzwa sh 10,000 we huna pesa ukaamua kukopa kwa dada yako sh 5,000 na kwa kaka sh 5,000 ukapata sh 10,000 ukaenda kununua kwa sh 9,700 ukarudishiwa sh 300 ukaamua kupunguza deni ukatoa sh 100 kwa kaka na sh 100 kwa dada ukabaki na sh 100 hivyo ukawa unadeni kwa kaka sh 4900 na dada sh 4900 Ukijumlisha ya kaka 4900 & dada 4900 Unapata 9800 Ukiongeza na ile 100 ya kwako inakuwa 9900. JE! 100 IMEKWENDA WAPI?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni