Jumamosi, 10 Agosti 2013
Story ya Dactar wizzy
Jinsi nilivyo mpata msichana kwa maneno ya bibilia Dr:Hello mrembo samahani unampenzi? Bint:Hapana Cna mpenzi Dr:Kitabu cha Mwanzo 2:18 "Bwana Mungu akasema sivema mtu huyu awe peke yake nitamfanyia msaidizi wakufananae" Bint:Lakini mimi sikupendi jamani Dr:Waraka wa kwanza wa Yohana 4:8 "Yeye asiyependa hamjui Mungu kwa maana Mungu niupendo" Bint:Mh! Mi najua kwamba nawewe unamaanisha hayo maneno? Dr:Injiri ya Mathayo 12:34b "Maana kinywa chamtu huyaneno yaujazayo moyo wake" Bint:Jaman leo kazi.Mi ntajuaje kwamba wewe ni mkweli na nimwaminifu? Dr:Injiri ya Marko 13:31 "Mbingu na nchi zitapita lakin maneno yangu hayata pita kamwe" Bint:Wewe!Nakwanini umekuja kwangu?Wasichana mbona wako wengi tu! Dr:Mithali 31:29 "Binti za watu wengi wamefanya mema lakin wewe umewapita wote" Bint:We unamambo wewe!Sasa mimi kwangu umependa kitu gani? Dr:Wimbo Ulio Bora 4:7 "Mpenzi wangu,u mzuri pia wala ndani yako hamna hila" Bint:Mh! Huo uwongo mbona mi Cyo mzuri hivyo.Unaongeza chumvi tu Dr:Mithali 31:30 TO BE CONTINOUS...
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni