The big Atist JOHSEEE KAMILION kutoka Uganda anatalajia kudondo Tz ktk msimu huu wa FIESTER TWENZETU unaokalibia kuanza mwezi huu wa AUGUST Mkoani KIGOMA.Dizaini bifu la CLOUS FM na msani huyo limekwisha. Baaaaaaaaasi!! Sasa kama wewe ni mwana intertiment JIIIIIPANGEEEEEE!!! Hivyo yani ama nini
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni