Jumamosi, 10 Agosti 2013

Mtambo wa Heroine

Mtambo wa Dawa za kulevya wabainika kuingizwa nchini Yadaiwa uliingizwa nchini mwaka huu na kigogo mmoja wa dawa hizo na upo katika nyumba moja iliyopo eneo la Mbezi Beach. Unatumika kuchanganya dawa za kulevya na kemikali nyingine ambapo nusu kilo ya heroine huongezwa hadi kufikia kilo mbili. Endelea kusoma zaidi hapa==>http://bit.ly/1ezizj8

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni