Alhamisi, 10 Septemba 2015
TEAM SHONGONDO J-MOSI HIII 94.4 IMPACT FM @Target yangu
Yap kutana na TEAM MPYAAAA ndani ya BLACK CITY aka DOM CITY yenye vichwa kibaoo ndani yake UTAPATA KUVISIKIA LIVE J-MOSI HII ndani ya 94.4 IMPACT FM wakiwa na RAIA KUTOKA NAVIGEZO PUBLIC siku hiyoo,so kazi nikwako kisikiliza BONGE LA STERIO utasauje sasa wakati WATU WASHALIPIA BILI NINI.TEAM SHONGONDO wakiongozwa na C.E.O wao anayejulikana kama BOY SANTANA na msemaji wao akiwa ni SLAYER na OMMY KIM pia ni team yenye MEMBER 80 ni crew yenye member weeeengiii kuliko crew yeyote ya KIMUSIC ndani ya BLACK CITY
@TARGET YANGU
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni