Jumatatu, 10 Agosti 2015

YOUNG 60- WACHUO @TARGET YANGU

Kwamara nyingine tena Mtumzima YOUNG 60 kadondosha video yake nyingine mpya inakwenda kwajina la WACHUO chini ya Directer MOE KAALI ni baada ya yakuachia video yake yamwanzo ambayo inaitwa MAPENZI BASI ya production ya AJ REC na directar akiwa ni ERICK BACKAMAZA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni