Msanii wa miondoko ya RNB ndani ya Dom city aka Black city anayejulikana kwa jina la Wise one Baada ya kumaliza elimu yake ya kidato cha sita (0 level) sasa anaingia ktk kambi ya JkT kwajili ya mafunzo ya ukakamavu Na kujiimalisha Zaid kimawazo Na kiutendaji kaz ktk jamiii >>>
Pia waweza zitafuta nyimbo zake kama * MALAIKA** KIDOGO** Na ASANTE** Alio iachia mada si mrefu kwa hewa Yani KADANG KADANG AK-47 @Target yangu™
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni